Gari la marehemu likifunikwa baada ya ajali jana usiku
Adha Ponda dada wa marehemu akiangua kilio
Eneo la Msiba muuda huu
Gari la marehemu kwa nyuma
Marehemu Katoto enzi za uhai wake.
NA DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO
MUDA huu mtandao huu umefanikiwa kuzungumza na mdogo wa marehemu Bw Hashimu Ponda ambaye amezungumzia kifo cha kaka yake kwa kuseme.
"Kaka baada ya kutoka nyumbani kwa mama akiwa njia kuelekea nyumbani kwake Kihonda alipata ajari eneo la kona ya Polster Klabu kihonda maghorofani chaajbu baada ya gari lake kupindukan liliangukia kwenye matofari na baadae kwenye kifusi cha mchanga ambacho kilimrifti kaka hadi juu ya Canter iliyosimama na kufika hoko kaka alichomoka kupitia kioo cha mbele hadi juu ya nyaya za umeme na kuangua kicha akiwa tayari alishakufa"alisema Hashim ambaye pia ni dereva wa kiwanda cha nguo cha Polyester
No comments:
Post a Comment