Thursday 5 June 2014

CHATU MKUBWA ATOKEA NYUMBANI KWA MTU, MWENYE NYUMBA AOMBA ASIUWAWE, ADAI HUYO NI MWANAE -ARUSHA


 Chatu akiwa anatamba pembeni ya ukuta kuingia ndani ya nyumba
 Chatu huyo akiwa ametumbukia ndani ya nyumba Hiyo maeneo ya sakina mkoani arusha
 Hicho ni kitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo kwa nyuma kikiwa kina maandishi mekundu.
 Hapa ni chatu huyo akiwa amekatwa katwa baada ya wanainchi kumuua leo maeneo ya sakina mkoani arusha
Kwa mbaliii nikitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani arusha Leo walipatwa na mshtuko mkubwa bada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.Ndipo wakazi hao wakaanza kumvizia chatu huyo na kutaka kumpiga lakini utata ukaibuka baada ya kudaiwa mama mwenye nyumba hiyo kusema wasimuue kwani ni mtoto wake,Lakini majirani hao hawakukubali ndipo walimkamata na kumuua kwa kumkata kata viapande,

CHANZO: ARUSHA YETU

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!