Friday, 20 June 2014

MJUE NURU THE LIGHT, MJASILIMALI ALIYEPANGA KUWAKOMBOA WANAWAKE TANZANIA

Photo: Anaitwa Nuru The Light.
Ni mwanamuziki, mjasiriamali, mtangazaji, blogger na mwanaharakati pia.
Amekuwa mkarimu sana kujiunga nami kutoka "maskani" yake kuzungumza nami kuhusu mengi mema yanayohusu maisha na kazi Tanzania na Sweden.
Ilikuwa ni OMBI MOJA naye akapanga siku na muda na akatimiza.
NIMEMHESHIMU SANA KWA HILI
Mtu mwenye kujitambua sana na mwenye misimamo ya wazi katika atendalo na aamualo (utakubaliana nami ukimsikiliza)
Mkakati wake wa kuwakomboa kinamama wenye uhitaji nchini Tanzania ni kati ya mambo ambayo yamenigusa sana kwenye maelezo yake
Endelea kufuatilia hapa utajua lini utapata kusikia mahojiano haya ambayo nimejifunza mengi kwayo
Photo Credits: Jeff Msangi's Bongo Celebrity
Anaitwa Nuru The Light.


Ni mwanamuziki, mjasiriamali, mtangazaji, blogger na mwanaharakati pia
Mkakati wake wa kuwakomboa kinamama wenye uhitaji nchini Tanzania

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!