Monday 30 June 2014

KWA UFUPI TUZO ZA BET HAZITOI NAFASI KWA TUZO ZA AFRIKA-DIAMOND

Diamond na Davido BET Awards 2014Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi nafasi kwa tuzo ya Afrika.


Kwenye exclusive interview na millardayo.com Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’




Screen Shot 2014-06-29 at 11.38.40 PM


2 comments:

web design sherman oaks said...

Diamond akubali kushindwa, lakini pia ajipongeze kwa hatua aliyofikia

Anonymous said...

Acheni..ushambaa wabongoo..hiyo BET hata haiusiani..na wazungu..ni black people tv ambayo waliyotuzwa wote ni weusi na anayemiliki..ni mweusi..wazungu wala hawamo humu. Hii ni USA na Africa ni africa. Mshukuru mungu hata sikuhizi wameanzisha hiyo ya asubuhi ya kuwapa tuzo..waafrica. hizo african awards zenu za Kilimanjaro..awards au MTV mliwapa awards..wamarekani?..wabongo mnaongea vitu bila kufikiria..mnabaguliwa..sijui weusi hampendwii..kwani wazungu wanahusika na BET..hamuelewi..hata maana ya BET Awards..

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!