Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi nafasi kwa tuzo ya Afrika.
Kwenye exclusive interview na millardayo.com Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’
- Sinyoritha Mmole · Mtama, Lindi, TanzaniaNasisi ndio tunawaendekeza wakija huku kwetu tunajaa barabarani eti kusubiri watushike angalau mkono wao akina nani, oneni sasa jinsi wanavyotubagua, siwapendi hata kidogo kama wao wasivyotupenda, kama wao kweli hawaipendi ngozi nyeusi basi wasiikanyage ardhi ya Afrika. #Ubaguzi tena mkubwa.
- Robert Chisamba · Top Commenter · Works at Studentbwanah mungu ndo anajuwa ila mbna hata sisi huku africa tunawapeleka mchakamchaka sanah tu
- Godwin KombaUbaguzi sana kwakweli mbona na wao weuc tu au sabab wako mbele fyuuuu cjapenda na hazina mana tena kwetu
- Yassir Komba · Top Commenter · Premary schoolmbana toka zama mwesi hawapendui iyo inajulikanaCHANZO-MILLARD AYO.COM
2 comments:
Diamond akubali kushindwa, lakini pia ajipongeze kwa hatua aliyofikia
Acheni..ushambaa wabongoo..hiyo BET hata haiusiani..na wazungu..ni black people tv ambayo waliyotuzwa wote ni weusi na anayemiliki..ni mweusi..wazungu wala hawamo humu. Hii ni USA na Africa ni africa. Mshukuru mungu hata sikuhizi wameanzisha hiyo ya asubuhi ya kuwapa tuzo..waafrica. hizo african awards zenu za Kilimanjaro..awards au MTV mliwapa awards..wamarekani?..wabongo mnaongea vitu bila kufikiria..mnabaguliwa..sijui weusi hampendwii..kwani wazungu wanahusika na BET..hamuelewi..hata maana ya BET Awards..
Post a Comment