Thursday 5 June 2014
IFANYE SEBULE YAKO IWE NI SEHEMU YA KUVUTIA KWA KUPANGILIA VIZURI RANGI.
Hata kama sehemu ya sebule yako ni ndogo kwa kupangilia rangi, unaweza kuifanya sebule yako ikawa ni mahali pazuri na pa kuvutia, epuka kujaza vitu vingi weka vitu vichache vitakavyopendezesha!
Sebule ndogo! hapa hakutaka kuweka maua kwa sababu nafasi ni ndogo, kama inavyoonekana kama angeweka maua ya ndani kama wengi tulivyozoea, ni kwamba maua yangechukua nafasi kubwa na kuziba mwanga, kitu ambacho kingepoteza mvuto wa sebule,na matokeo yake nyumba inakuwa imejaa makorokoro, na pia si vizuri kwa afya, kwani mwanga, na hewa ni muhimu ndani ya nyumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment