Sunday, 29 June 2014

DIAMOND NDANI YA L.A KWA AJILI YA BET AWARDS


1
2




5
Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6 na video moja akiwa huko Los Angeles  na kwenye hii video yupo eneo ambalo zinafanyika interview za wasanii mbalimbali.
Unaweza kumuona Buster Rhymes akiwa kwenye interview na mtangazaji mmoja na pia zamu ya Diamond ilifika kufanya mahojiano na waandishi mbalimbali.


7
3

9

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!