Wednesday, 4 June 2014

DIAMOND NA "MADAME" SAFARINI KUELEKEA AFRIKA YA KUSINI KWENYE TUZO YA MTV AFRICA MUSIC AWARDS

Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards

Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:
"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa... kwa maelezo zaidi follow Account yao Hii @fastjetofficial @fastjetofficial"


All the best Diamond Platnumz

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!