Saturday 21 June 2014

BABU SEYA NA MWANAE PAPII KOCHA WAKIBURUDISHA KATIKA MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY..

image_2Msanii Nguza Viking anayetumikia Kifungo chake Gerezani akiwa na Bendi ya Wafungwa(anayepiga gitaa) akiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani(wa pili kulia) ni Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika leo Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.
image_2

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!