Mashallah,lulu anazidi kumeremeta!
Tukio bado linaendelea na tuzo zinaendelea kutolewa na hizi ni picha za washindi wengine kwenye categories mbalimbali.
Vanessa Mdee ameshinda tuzo ya wimbo bora wa R&B na wimbo wa Closer.
Nikki wa pili ameshinda tuzo ya wimbo bora wa Hip-hop kwa mwaka 2014 na wimbo wa Nje ya Box.
Diamond ameshinda tuzo nyingine kwenye category ya mwimbaji Bora wa Kiume ambapo tuzo hiyo alikabidhiwa na Wema Sepetu
Picha hii na nyingine hapo chini zilikuwa ni show ya Weusi iliyofuatiwa na show ya Madee akagawa pombe kama unavyoona
Tuzo ya rapa bora wa Bendi mwaka huu ni Ferguson
Kitale alikuja kutoka tuzo ya mwimbaji bora wa kiume wa bendi ambapo shindi ni Jose Mara
Tuzo ya mshindi wa mwimbaji bora wa kike wa bendi na mshindi ni Luiza Mbutu
No comments:
Post a Comment