Monday, 12 May 2014

RAIS KIKWETE NA MKEWE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI WA MALAWI MAREHEMU MHE. FLOSSIE ASEKANAO CHIDYAONGA JIONI HII DAR ES SALAAM

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam 


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa  heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia na maafisa wa ubalozi wa Malawi  alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam PICHA NA IKULU

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!