Ripoti zilizotufikia hivi punde ni kwamba ndege moja ya kijeshi ya Kenya imeanguka huko Elwak, karibu na mpaka wa wa nchi hiyo na Somalia dakika chache baada ya kuruka.
Vyombo vya habari vya Kenya vinaripoti kwamba rubani wa ndege hiyo amefariki dunia na zaidi ya watu 10 wamejeruhiwa.
Sababu ya ajali hiyo bado haijajulikana . Jeshi la Kenya limethibitisha ajali hiyo kwenye mtandao wake wa Twitter
CRD: SUNDAY SHOMARI BLOG.
No comments:
Post a Comment