Sunday, 4 May 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA SHIRIKA LA SIMU LA CHINA IKULU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirika la Simu la China Bwana Yang Jie ikulu jijini Dar es Salaam leo.Bwana Yang na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete ikulu na kufanya naye mazungumzo yaliyohusu uboreshwaji wa miundo mbinu ya mawasiliano nchini.(picha na Freddy Maro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment