Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA katika kikao cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi za Bunge Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Koroso akitoa maelezo mafupi kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuzindua Baraza jipya la Tume. Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA wakimsikiliza mgeni rasmi
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUME YA SHERIA wakijumuika na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro kuimba wimbo wa Wafanyakazi wakati wa kikao cha Baraza la wafanayakazi kilichofanyika ofisi za Bunge Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Kudumu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania pamoja na wajumbe wapya wa Baraza la Wafanyakazi. Wengine wa pili kushoto ni Kamishna wa Tume Bi. Esther Manyesha na kushoto ni Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso.
No comments:
Post a Comment