Friday, 2 May 2014

Kijana Aliyekiri Kumpiga,Kumbaka Na Kumuua Mtoto Mdogo Afanyiwa Unyama wa Kutisha Jela

rapeman

Kijana aliyejulikana kama Daryell Dickson Meneses Xavier aliyekiri kumbaka na kumuua mtoto wa mchumba wake aliyekuwa na mwaka mmoja na miezi nane tu amefanyiwa unyama jela na wafungwa wenye hasira kali.

 Taarifa inasema “Daryell amebakwa na wafungwa 20 kwa wakati moja alivyofika jela siku ya kwanza” Stori inaendela kusema kuwa baada ya kijana huyu kupata matibabu na kushonwa kwenye sehemu yake ya nyuma wafungwa hao walitoa nyuzi hizo na kumbaka tena kwa mara nyingine.


 Comment nyingi kuhusu kitendo alichofanyiwa kijana huyu zilisema kuwa amepata alichomfanyia mtoto wa mwenzake ila wengine walisema adhabu yake imekuwa kali sana

CRD: VIJANA NA MATUKIO

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!