Wednesday, 30 April 2014
KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AMKARIBISHA RAIS KIKWETE ARUSHA
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt.Richard Sezibera akimkaribisha Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo unaofanyika leo (picha na Freddy Maro).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment