Friday, 7 March 2014

UJUMBE WA EU EIB WATEMBELEA WIZARA YA MAJI

IMG_0647WaziriwaMaji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom.


IMG_0652Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na wageni kutoka EU EIB.
IMG_0668Waziriwa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akisalimiana na Balozi wa EU nchini Tanzania Filberto Sebregondi.
………………………………………………………………….
Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya kupitia European Investment Bank (EIB) wiki hii umetembelea Wizara ya Maji na kuk utanana Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ofisini kwake.
Ujumbe huu uliongozwa na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom kutoka Luxembourg akifuatana na wawakilishi wengine Richard Willis, Catherine Colllin, Cristian Mejia-Garcia na Anne Claire Dauvier, Adam Grodzicki.
EIB inatoa msaada kwa miradi ya Sekta ya Maji nchini katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inaendelea hapa nchini ikiwemo katika miji ya Mwanza, Bukobana Musoma

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!