Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa hospitali.
Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi, na kwamba askari wa zimamoto wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto huo.
No comments:
Post a Comment