Friday, 7 March 2014
JUST IN ....BASI LA DAR EXPRESS LAANGUKA MAENEO KATI YA CHALINZE NA RUVU
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA BASI HILO LA DAR EXPRESS LIMEPINDUKA MAJIRA YA SAA NANE MCHANA HUU WAKATI LIKIJARIBU KULIPITA GARI LINGINE, BASI HILO LILIKUWA LIKITOKEA ARUSHA KWENDA DAR ES SALAAM
STAY TUNED KWA HABARI ZAIDI!!..
CRD..PAPARAZ...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment