Thursday, 6 March 2014
BUNGE LAAHIRISHA KIKAO KUTOKANA NA VURUGU
Bunge maalum la Katiba limeahirisha kikao chake cha asubuhi kutokana na vurugu kuibuka wakati wa semina ya kujadili Kanuni za Bunge hilo. - Mwenyekiti wa Muda (Pandu Amir Kificho) wa Bunge amewatahadharisha wajumbe juu ya hatari ya kunyoosheana vidole kwa itikadi za kisiasa. Ufafanuzi huo umetolewa baada ya Mheshimiwa Ole Sendeka kumshutumu waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakar Hamisi Bakari kuwa ana maslahi ya chama chake cha CUF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment