Sunday, 5 January 2014

MSIBA DMV NA TANZANIA


Zainab a.k.a Zay B Enzi za uhai wake.

Zainab Buzohera Dullah au maarufu kwa jina la Zay B amefariki dunia saa mbili za usiku wa Jumamosi Januari 4 ,2014 kwa mujibu wa jamaa wa karibu wa familia yake. Zainab alikutwa na umauti huko Doctors Community hospital Lanham Maryland. Taarifa kwa sasa ndugu na jamaa wanakutana nyumbani kwa marehemu  5030 57th Ave Apt 303 Bladensburg Md 20710. Taarifa zaidi tutaendelea kuwaetea kwa kadri tutakavyozipokea kwa niaba ya blog tunawapa pole wakazi wote wa DMV na Tanzania Mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi Amina..



WAKAZI WA DMV KATIKA MSIBA WA ZAINAB.



Msiba wa Zainab 009Mfiwa kushoto Bw.Dula ambaye ni mume wa marehemu mwenye majonzi makubwa akiwa na Terry Shomari katika msiba huo Jumamosi usiku huko Bladensburg Md mara baada ya habari za msiba kupatikana.
Msiba wa Zainab 007Mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera (wa pili kulia)akiwa amezungukwa na jamaa, ndugu na marafiki wakimfariji.
Msiba wa Zainab 012
Msiba wa Zainab 015
Msiba wa Zainab 016
Msiba wa Zainab 020
Msiba wa Zainab 021
Msiba wa Zainab 023

MAENDELEO YA MSIBA WA ZAINAB -DMV

Msiba wa Zainab 002Rais wa Jumuiya ya watanzania DMV Bw.Iddy Sandali akitoa utaratibu.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania inaendelea. Harambee itafanyika Jumapili January 5, 2014 saa 10 jioni katika anuani ifuatayo:5401 Annapolis Rd Bladensburg Md 20710.
Gharama ni $15, 000.
Tunakuomba tuma mchango wako kwenda :
CITI BANK
Ms. Ngalu Buzohera
AC 50070000.
Routing 9106834936.
Shukran.

HABARI ZOTE KWA HISANI YA SUNDAY SHOMARI BLOG



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!