mkoani Mtwara na Lindi,ni Waziri wa mambo
ya nje,mheshimiwa Bernad Membe kutenga
mda wake,na
kujumuika na wananchi na
kufurahia pamoja
kazi tuliyokuwa tuiifanya
familia ya WCB..pia alipata wasaa wa
kuhutubia anachi na
kusistiza zaidi swala zima la
kuilinda nakudumisha amani,ambayo
ndiyo nembo yetu kama watanzania..
Akinipongeza,hapa ilikuwa Lindi
Diamond akiwapata chakula na mawaziri mbalimbali.
Waziri Membe akizungumza mawilimatatu na Naseeb Abdul (Diamond) pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Lindi.
No comments:
Post a Comment