Thursday, 2 January 2014

ASANTENI WADAU KWA 2013 .....




 NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KWANZA KABISA KUMSHUKURU MUNGU, KWA KUNIPA AFYA NJEMA NA KUNIWEZESHA KUFIKA MWAKA 2014.

NDUGU WADAU KAMA KAWAIDA YA KILA BINADAMU  ANAMAPUNGUFU YAKE, NA MIMI KAMA BINADAMU NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII TENA KUWAOMBA RADHI WALE WOTE WALIOKWAZIKA KWA AINA MOJA AU NYINGINE.

NAPENDA KUWASHUKURU NA KUWAPONGEZA WADAU WAPENZI FANS WA SOPHIEMBEYU BLOG KWA KUWA NA MIMI BEGA KWA BEGA KATIKA KUIENDELEZA BLOG HII, " JAMANI BILA YA NINYI MIMI KWISHAA" SINA BUDI YA KUWASHUKURU  TUENDELEE KUKAZA BUTI MPAKA MWISHO........
UNAKARIBISHWA KUTOA MAONI YAKO, USHAURI , TANGAZO, SALAMU NK...WE JIMWAGE TU USISITE ....NA WALE WA KUTAFUTA NDOA(WACHUMBA) TUNAENDELEA KAMA KAWA! WE TUMA MAOMBI YAKO NA MIMI NITAFIKISHA UJUMBE......

NAWATAKIA KILA LILILOJEMA KATIKA MWAKA 2014..............

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI


sophiembeyu@msn.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!