Ajira ngumu kwa watoto, zaidi ya watoto 15,000 wanajishughulisha na ajira tena zile ngumu
Takwimu za mwaka 1992 zinaonyesha kuwa karibu robo ya Watanzania wanaangukia katika kundi la kwanza la umasikini na nusu ya Watanzania wanaangukia katika kundi la pili. Katika mwaka 1995 karibu theluthi (1/3) ya idadi ya Watanzania walikuwa masikini. Hali hiyo huenda ni mbaya zaidi hivi sasa. Lakini umasikini una vipengele vingine zaidi licha ya kutokuwa na fedha za kutosha kununulia chakula, nguo, kujenga nyumba na kumudu gharama za matibabu. Utafiti kuhusu umasikini unaonyesha kuwa watu maskini zaidi:
|
No comments:
Post a Comment