Mandela.
The Legacy he left us.
Always remember.
July 18 1918- December 5 2013
Habari kuhusu kifo cha Nelson Mandela zimetangazwa na Rais wa sasa wa Africa Kusini
Bwana Jacob Zuma dakika chache kuelekea saa saba usiku wa kuamkia leo
December 6 2013. Pia vyombo vya habari Bbc Na CNN vimetangaza kuwa Mandela
amefariki akiwa na miaka 95 na alikuwa hospitalini kwa muda mrefu akipata matibabu.
CNN Wana Repoti kuwa Mwezi wa tatu mwaka 2013 Mandela aliumwa sana na raia wengi
CNN Wana Repoti kuwa Mwezi wa tatu mwaka 2013 Mandela aliumwa sana na raia wengi
Africa Kusini walijua watampoteza Mandela ila haikuwa hivyo na hali yake ikawa nzuri
kwa muda na baadae kurudishwa hospitalini baada ya kuzidiwa.
Bendera zote Africa Kusini zimeanza kupepea nusu mlingoti baada ya kutangazwa
Bendera zote Africa Kusini zimeanza kupepea nusu mlingoti baada ya kutangazwa
kwa kifo cha Nelson Mandela. Pia patakuwa na siku kumi za maombolezo.
"Ngiyabonga Tata Madiba. Thank you for sharing your life with us. Hamba Kahle Tata! May
your soul rest in Eternal Peace" Ameandika Mwamvita Makaba
No comments:
Post a Comment