Sunday, 15 December 2013
MATUKIO NA PICHA :YALIYOJIRI LEO WAKATI WA MAZISHI YA NELSON MANDELA KIJIJI CHA QUNU. "SHUJAA AMEZIKWA KISHUJAA"
Alikolazwa Mandeala katika shamba lao kijijini Qunu
Ibada maalum ilifanyika katika ukumbi uliotengezwa mahsusi kwa ajili ya shughuli hiyo katika kijij cha Qunu
Kuambatana ja tamaduni za watu wa ukoo wa Mandela, lazima jeneza lifunikwe ngozi ya Ng'ombe
Jeneza la hayati Mandela lisikindikizwa na maafisa wa jeshi, wale wa ANC, familia na jamaa pamoja na viongozi waliofika kumuaga Mandela
wageni wa aina yote walifika wekiwemo wa kitamaduni kutoa heshima zao za mwisho kwa Mandela
Ndege za kijeshi zilipaa angani zikipeperusha bendera ya Afrika Kusini kwa heshima ya Mandela
Mama Winnie Mandela na Rais Jacob Zuma kando yake akiwa mama Graca
Jamaa na marafiki waliofika kumuaga Mandela katika kijiji cha Qunu
Mama Graca Machel na Rais Jacob Zuma kwenye mazishi ya Mandela Qunu
Hotuba zilizotolewa katika hotuba ya Mandela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment