Thursday 12 December 2013

LINDA BEZUIDENHOUT (LB) ONE OF THE COUTURE DESIGNERS AT SBC END YEAR EXTRAVAGANZA AT 200 PEACHTREE DOWNTOWN ATLANTA.


watu wakiwa wanajichanganya kabla ya fashion show kuanza kwenye ukumbi uliopo pembeni mwa WESTIN HOTEL 200 PEACHTREE  usiku wa SBC EXTRAVAGANZA Downtown  Atlanta


Runway iliotumika na madesigner watano wakubwa wa Atlanta designer wa KI-TANZANIA  LINDA BEZUIDENHOUT ( LB)  akiwa mmoja wao
Sasha The Diva Mtangazaji maharufu wa Georgia wa radio station ya KISS 104
 LB na SASHA THEDIVA wakiwa backstage
Marilyn Monroe nae alikuwepo
Burudani kutoka kwa ASHTHON JONES wa American Idol

RENEE KNORR akiwa na vazi la LB akielekea jukwaani kufungua show

Leyla Bezuidenhout "The face of LB " akiwa kwenye catwalk akifanya yake
Leyla Bezuidenhout "The face of LB " akiwa kwenye cartwalk huku aunty ASHURA NA MWANAE  wakiwa Front Raw wakimtizama kwa furaha kubwa sana




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!