Thursday 12 December 2013

ANGALIA KAZI HIYO, MBAYA ZAIDI NI MWANAUME! HOVYOO KA MTAA USIO NA MJUMBE!


      BWANA KAKA!



kwanini ujichubue mpaka ufikie hapo? mbaya zaidi kumbe jamani hata kuna wengine ni weupe by nature, lakini wanataka kuwa weupe zaidi, niliona kwenye news kuwa asilimia kubwa ya wasichana wa ki thai wanatumia bleach kuwafanya wawe weupe zaidi, sasa hata sielewi niaje, mpaka wathai nao wanajipiga deki kwa kwenda mbele! mie hooi!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!