Sunday, 15 December 2013

JE KUTATOKEA KIONGOZI KAMA MANDELA? TUMEJIFUNZA NINI TOKA KWA MANDELA?


Mandela ametufunza kusamehe, upendo, umoja na vilele kubwa zaidi ni kuwa na msimamo, yeye hakuyumba  na wala hakuwa muoga na alikuwa mkweli daima, mwenye kujitolea kwa moyo, wengi wetu tusingesamehe kama yeye alivyosamehe waliomfunga jela,  na kufanya nusu ya maisha  yake kuwa mikononi mwao HEBU MDAU NIAMBIE KAMA NI WEWE UNGEWASAMEHE? KUNA MDAU AMESEMA YEYE ANGEKUWA NI MANDELA SIKU ANATOKA JELA, WANGEPISHANA MLANGONI YEYE ANATOKA JELA, WAO WANAINGIA..NA VITA NDIO INGEZALIWA SIKU HIYOHIYO RASMI.....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!