Wednesday, 13 November 2013

BABA WA KIJANA ALIYEFARIKI KWA MADAWA TUMBONI HUKO MBEYA, AJITOKEZA KUCHUKUA MWILI WA MWANAE KWENDA DSM KWA MAZISHI.


 BABA MZAZI  WA MAREHEMU   KASSIM  MZEE SAID  ATHUMANI MBOYA, MIAKA 60,AKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI KABLA YA KUUCHUKUA MWILI WA KASSIM

MWILI WA MARHEMU KASSIM KABLA YA KUANZA SAFARI YA KWENDA DSM
MOJA YA MAAFISA WA POLISI AKIANDIKA MAELEZO MAFUPI TOKA KWA MZAZI WA KASSIMU KABLA YA KUKABIDHIWA MWILI HUO NA JESHI LA POLISI
BABA MZAZI  WA MAREHEMU   KASSIM  MZEE SAID  ATHUMANI MBOYA MWENYE KOTI JEUSI AKIBEBA MWILI WA MWANAE HUKU AKISAIDIWA NA BAADHI YA WALIOFIKA KUMSAIDIA MZEE HUYO

KWA HISANI YA MBEYA YETU.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!