Pages

Wednesday, 18 September 2013

WAMALAWI WAMIMINIKA KATIKA OFISI ZA UHAMIAJI JIJINI DAR KWAAJILI YA KUJIORODHESHA UHALALI WA KUISHI TANZANIA



Raia wa Malawi wakiwa katika foleni ya kuingia kujiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. Mamia ya wakazi hao walimiminia katika ofisi hizo  kujiorodhesha ikiwa ni agizo la Rais Jakaya Kikwete.
Akina mama na watoto wakisubiri kujiorodhesha.

No comments:

Post a Comment