Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akitoa risala fupi wakati wa halfa ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Taasisi hiyo kwa hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi,kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na kulia ni Kaimu katibu tawala wa hospitali hiyo Tawani Selemani. Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akimuonyesha gari la kubebea wagonjwa Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila lililotolewa na Taasisi hiyo wakati wa alipolikabidhi kwenye hospitali ya Sokoine mkoani hapo. Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi baada ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika hospitali hiyo
Friday, 13 September 2013
WAMA WAIKABIDHI HOSPITALI YA SOKIONE GARI LA WAGONJWA

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment