Sunday, 1 September 2013
MAUAJI YA KINYAMA DHIDI YA WANAWAKE YANAZIDI KUWA NI TISHIO.
Ukatili dhidi ya wanawake umeendelea kushika kasi ya ajabu katika bara la Afrika.....
Ukatili huo unajidhirisha baada ya ongezeko kubwa la matukio ya ubakaji yanayoambatana na mauaji ya kikatili kama njia mojawapo ya kuficha ushahidi.
Wiki hii mitandao ya nchini Ghana imeripoti juu la tukio la mwanamke mmoja aliyebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa kisu tumboni na sehemu za siri...
<< PICHA YA MWANAMKE HUYO>>
Picha ya tukio hilo ni mbaya.BOFYA HAPO JUU KUIONA PICHA...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment