Sunday, 1 September 2013

KITANDA KIKAE WAPI?

Kitanda kikae wapi?....Jibu




Images courtesy of house beautiful
Upangaji mzuri wa chumba cha kulala ni kuweka kitanda katikati. Wengi wetu tumezoea kukibana kitanda ukutani. Naamini ukiweka kitanda katikati (kama picha zinavyoonyesha) husaidia kurahisisha kufanya usafi wa chumba kwa kurahisisha kufagia uvunguni kila unaposafisha pia inafanya hewa izunguke vizuri na vilevile itakurahisishia kutandika.Kwa ujumla chumba chako kitapendeza. Jaribu
CHANZO SOPHIE BLOG..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!