DUNIA imefika pabaya! Mrembo Yusta Mkali, mkazi wa Kawe, Dar ambaye alikuwa mke wa mtu anadaiwa kuuawa kwa kutobolewa koromeo na mumewe, Musa Senkando na kusababisha simulizi ya kutoa machozi kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Mauaji hayo ya kikatili yalitokea wiki iliyopita maeneo ya Kanisani Kawe, Dar usiku wa kuamkia Ijumaa ambapo mwili wa marehemu ulikutwa ukiwa na jeraha kwenye koo huku mwanaume huyo hajulikani alipo.
GPL













No comments:
Post a Comment