Ni
mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha
zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.
Tetesi
za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye
alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni
moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na
anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya
kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake
unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.

SOURCE: JF / KDADDY COOL BLOG
No comments:
Post a Comment