Difenda la Polisi likiondoka eneo la tukio na mmoja wa viongozi wa kampuni hiyo aliyejeruhiwa.
Geti la kampuni ya Diab Furniture Manufacturing iliyovamiwa na majambazi.
Mke wa mlinzi aliyejerujiwa na majambazi akiwa getini na mwanaye
Geti la kampuni ya Diab Furniture Manufacturing iliyovamiwa na majambazi.
Mke wa mlinzi aliyejerujiwa na majambazi akiwa getini na mwanaye
Kundi la majambazi waliokuwa na silaha za moto wakiwa na magari mawili Landcruiser na Noah wamevamia kampuni inayojishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa fenicha ya Diab Furniture Manufacturing Company iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam. Majambazi hayo baada ya kuvamia eneo hilo yalifanikiwa kupora sefu iliyokuwa na fedha pamoja na kuwajeruhi mmoja wa viongozi wa kampuni hiyo na mlinzi.