skip to main |
skip to sidebar
MTANDAO WA KUTENGENEZA FEDHA BANDIA WANASWA.

Mtandao wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania umebainika kuwepo nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata tena dola za kimarekani na kusababisha fedha bandia zilizokamatwa katika kipindi cha siku mbili kufikia zaidi ya shilingi milioni 250
No comments:
Post a Comment