NI maswali tata yameibuka baada ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evengelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Dk. Moses Samuel Kulola (85) kwamba, ameacha utajiri wa kiasi gani wakati wa uhai wake, Uwazi limechimba.
Baadhi ya waombolezaji msibani jijini Mwanza walikuwa wakiulizana kama marehemu Kulola ameacha utajiri wa mali na fedha wa kuweza kuwafikia baadhi ya watumishi wa Mungu waliopo leo Tanzania













No comments:
Post a Comment