Monday, 9 September 2013

MAJESHI YA MONUSCO YANAYOONGOZWA NA MAJESHI YA TANZANIA(JWTZ) YALIVYOCHAKAZA NGOME YA MAJESHI YA KIKUNDI CHA WAASI CHA M23



Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano ndani ya Kibati.

Kazi ni moja tu, nayo ni Kongo kuwa huru, vijana shupavu wanawajibika pichani ni Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano

Majeshi ya MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ),yakidhibiti eneo la Kibati ilipokuwa ngome ya M23. Picha Zote na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)-Upanga

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!