Mwigizaji wa sinema za
Kibongo,Elizabeth Michael(Lulu) amecheza filamu na mama wa aliyekuwa msanii wa
Bongo Movies,marehemu Steven Kanumba,Frolah Mtegoa iitwayo Mapenzi ya Mungu
ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Lulu
amepost kava la filamu hiyo kwenye mtandao wa instragram na kuandika kuwa
…MAPENZI YA MUNGU....ELIZABETH MICHAEL + FLORA MTEGOHA(MAMA KANUMBA)....STAY
TUNED …..
Huku baadhi ya watu wakimpongeza na kumwambia hongera mungu azd kukuangazia .amani yake iwe juu yako.
Huku baadhi ya watu wakimpongeza na kumwambia hongera mungu azd kukuangazia .amani yake iwe juu yako.
Hii
ni mara ya kwanza Lulu kufanya filamu na Mama Kanumba tangu alipopata matatizo
ya kesi ya mauaji ya msanii Kanumba na pengine kuibua maswali kwa mashabiki ni
nini kimeongelewa ndani ya filamu hiyo kati ya mtu na
‘mkwewe’.
No comments:
Post a Comment