Pages

Friday, 20 September 2013

HABARI ZA UMBEYA........BAADA YA KUANIKWA KWENYE MITANDAO KUHUSU WIZI WA SIMU, IRENE AAHIDI KUFICHUA SKENDO CHAFU ZA ERIK SHIGONGO

 


Irene Uwoya


Lile bifu linalondelea kati ya mwigizaji Irene Uwoya na mmiliki wa Global Publishers, Erick Shigongo limechukua sura mpya baada ya mwigizaji huyo kuapa kuzianika hadharani skendo chafu za Erick Shigongo huku akitangaza wazi kuwa haogopi kufa wala kumwagiwa tindikali.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Irene aliandika maneno yafuatayo:
“Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia ntatoa…usilo lijua nikama usiku wagiza, ndomaana atawadanganya wasio na akili na wasio mjua….nitapigana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu, ntasema kila kitu kwanin ananichukia na ntaweka kila kitu waz….den wenye akili watajua naongea nin…simuogop atakama atanichafua kiasi gan…hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe…I don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atatamani ardhi ipasuke…… mim Irene Uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa naahidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him….ehh mwenyez ? MUNGU nisaidie

No comments:

Post a Comment