Thursday, 5 September 2013

HAYA NDIO MAUA YA NDANI AMBAYO NI MAZURI KWA AFYA YAKO


Image courtesy of rate1
nephytis

 


Image courtesy of metaefficiency
dwarf date palm


Image courtesy of elainewillis
sword fern

Image courtesy of foliaireLady palm

Maua nyumbani au ofisini sio mapambo tu bali ni mazuri kwa afya yako kwani husafisha hewa na kufanya mazingira yako ya nyumbani au ofisini kupendeza kufanyia kazi au kuishi.Kwa hiyo wewe kama sio mpenzi sana wa kupamba basi pata ua (au yote) kati ya hayo juu japo kwa nia ya kuboresha hewa ya nyumbani kwako au ofisini. Kama una watoto wadogo au wanyama kama paka au mbwa ni muhimu kuhakikisha hawachezei maana maua mengine yanaweza yakawadhuru wakiyala. Pia kuna maua zaidi yafanyayo kazi hii majina yake hapa na hapa ila haya nimeona ni post haya maana yanapatika kirahisi kwetu na utunzaji wake sio mgumu. Tuzipende afya zetu na sehemu tunazoishi,Enjoy!
USHAURI WA BURE!  JENGA MAZOWEA YA KUTOA MAUA YAKO NJE, ILI YAPATE HEWA NA MWANGA WA JUA.
SOPHIE BLOG

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!