Thursday, 12 September 2013

H-BABA NA FLORA MVUNGI WAPATA MTOTO WA KIKE...


Msanii H.BABA apata mtoto wa kike na amempa jina la #Tanzanite mtoto huyu amezaliwa katika hosp ya #MariaStope iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam


Hongereni sana H-baba na Flora.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!