WAPENDWA HII NDO MIJISU(DINAZOR) YETU ILIYOPO HUKO UJERUMANI KTK JUMBA LA MAKUMBUSHO KTK NCHI HIYO..ILIGUNDULIWA MKOA WA LINDI MIAKA HIYO..
MIMI NINGEPENDA MH RAIS WETU MPENDWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA KIPINDI HIKI AFANYE JITIHADA KUBWA YA KUILETA MIJISU YETU..KISHA MAPATO YANAYOPATIKANA HUKO GERMAN TUGAWANE KWASABABU HII NI MALIYETU SI YA WAJERUMANI...
JEE WEWE UNASEMAJE..???
NA LEWIS MBONDE.
No comments:
Post a Comment