Wednesday, 21 August 2013

RAIS AFANYA MABADILIKO YA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA!!




Baadhi ya walioteuliwa:

Dr Florence Turuka - Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
Bi Joyce Mapunjo -Katibu Mkuu wizara ya Afrika Mashariki
Bw Sihaba Mkinga -Katibu Mkuu -Habari, Michezo na Utamaduni
Bi Sofia Kaduma -Katibu Mkuu Kilimo na Ushirika
Dr Deo Mtasiwa -Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu akishughulikia Afya

Majina Mengine nitawaleteeni baadae.

Patrick Rutabanzibwa Amestaafu kwa hiari.

Wafuatao wameondolewa Ukatibu Mkuu na badala yake watapangiwa kazi nyingine.

1. Seth Kamuhanda
2. Kijakazi Mtengwa
3. Omary Chambo

Bw Peniel Lyimo aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu amehamishiwa Ofisi ya Rais kuwa Naibu Mtendaji Mkuu akishughulikia maswala ya Kilimo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!