Oneal na Fezza wakiwapungia wananchi wa Gabarone walipokuwa wanapita mitaani.. |
Umati wa wananchi wa Gabarone waliojitokeza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Botswana. |
Hali hii ilizidi hadi walipowasili hotelini ambapo fezza amefikia,ni picha picha tu watu kupiga kama ukumbusho waeza ona hali halisi kwenye picha hii.... |
Fezza mwenye furaha kuona anakubalika sana ugenini, kiukweli ni jambo la kujivunia kuona bendera ya Tanzania inazidi kuonekana na kutambulika duniani. |
Ukiangalia kwa karibu Tshirt za juu ya Fezza na Oneal zinafanana Pia...kweli mahaba mahabani.. |
No comments:
Post a Comment