Balozi wa China nchini Tanzania, Dk. Lu Youqing (kushoto), akikata
utepe kuzindua huduma mpya ya kifedha kwa kutumia fedha ya China
(Yuan) ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa benki hiyo, Mizinga Melu. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu
akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam. Balozi wa China nchini Tanzania, Dk. Lu Youqing akizungumza katika
hafla hiyo.

No comments:
Post a Comment