Pichani juu ni taswira za mama watatu akisubiri msaada katika mitaa ya karume jijini Dsm, anaomba msaada ili aweze kuwalea watoto wake watatu , mama huyu anadai kwamba hana uwezo wa kuwatunza watoto hao tangu baba yao alipofariki, na kwamba anatafuta nauli ili aweze kurudi Mtwara kwani kule maisha ni nafuu kidogo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment