Kushoto ni Ofisa Usalama feki, Bw. Alquine Masubo,akiwa polisi.
SIKU chache baada ya
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kumnasa Bw. Alquine Masubo (42),
akidaiwa kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa, siri nzito juu ya vitendo
vinavyodaiwa kufanywa na mtuhumiwa huyo, sasa zimeanza kufichuka.
Habari na picha zilizochapishwa na gazeti hili juu ya tukio la
kukamatwa Bw. Masubo, ziliibua maswali mengi kwa baadhi ya
wasomaji ambao baadhi yao walipiga simu katika chumba cha habari na kudai wao ni miongoni mwa waliotapeliwa na mtuhumiwa huyo.
wasomaji ambao baadhi yao walipiga simu katika chumba cha habari na kudai wao ni miongoni mwa waliotapeliwa na mtuhumiwa huyo.
Mkazi mmoja wa Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), alisema
mtuhumiwa ambaye huwa na kawaida ya kushirikiana na mke wa kigogo mmoja wa
Jeshi la Polisi, amewahi kumbambikia kesi ya utapeli na kujitambulisha kwake
kuwa yeye ni Ofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Alisema, baada ya kukamatwa na
kufikishwa kituo kimoja cha polisi Dar es Salaam, mtuhumiwa alitoa agizo kwa
Kamishna Msaidizi wa jeshi hilo (sasa ni mstaafu), atoe amri kwa RCO (Mkuu wa
Upepelezi), aweze kukaguliwa nyumbani kwake
"Walipokwenda nyumbani kwangu na kukosa nyaraka ambazo
walikuwa wakizitafuta, walichukua vitu mbalimbali ndani kwangu ambavyo ni
pamoja na kitanda, godoro, sofa, kabati, friji, DVD, televisheni, redio kubwa
na vingine vingi.
"Kabla hawajachukua vitu hivyo, alimwambia mdogo wangu ampe
sh. milioni tatu ili nisichukuliwe vitu vyangu, alipewa sh. milioni moja,
lakini bado alitoa amri vitu vyangu vibebwe licha ya kutoa risiti ya kila kitu
walichochukua.
"Pia alimtaka mdogo wangu ampe pesa ili niweze kupewa dhamana
mahakamani, kesi niliyobambikiwa dhamana yake ilikuwa wazi... aliwaambia
waendesha mashtaka kuwa yeye ni Ofisa Usalama kutoka Ikulu, ambayo imemtuma ili
nisipewe dhamana," alidai mkazi huyo.
Aliongeza kuwa, kutokana
na agizo hilo alikaa gerezani miezi mitatu, lakini alisaidiwa kupewa dhamana
kutokana na juhudi za dada yake ambaye ni karani wa mahakama (bila kumtaja jina
wala mahakama anayoifanyia kazi jijini humo).
Mkazi huyo aliongeza
kuwa, wakati akiwa mahabusu katika kituo kimoja cha polisi Dar es Salaam,
mtuhumiwa (Masubo) alikwenda kituoni hapo na kumtaka atoe maelezo anayotaka
yeye na asipofanya hivyo, atambambikia kesi kubwa zaidi.
"Nilikataa kuandika maelezo
anayotaka yeye, wakati huo ndugu zangu walikuwa nje, mtuhumiwa aliwafuata na
kuwaambia sitaki
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu Dar es Salaam
jana, Kamanda wa kanda hiyo, Kamishna Suleiman Kova, alisema mbali ya tukio
hilo, jeshi hilo pia litazungumzia mambo mengine makubwa waliyoyabaini.
"Mkutano wangu wa kesho (leo) na waandishi wa habari,
nitazungumzia tukio hilo, pia kuna mambo mengine makubwa ambayo tunatarajia
kuyazungumzia si hilo tu," alisema.
Aliongeza kuwa, tayari kuna kikosi maalumu cha polisi ambacho
kinaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
Mlipuko huo ulitokea juzi ambapo bomu hilo linadaiwa kutengenezwa
kwa chupa na kujazwa petroli ambapo madhabahu, gari la mchungaji vinadaiwa
kuungua.
Mchungaji wa usharika huo, Noah Kipungu juzi alisema chupa za bia
zilizojazwa mafuta hayo zikiwa zimezibwa na mifuniko iliyotobolewa tundu,
ziliwashwa moto ili kuchochea mlipuko huo.
Alisema katika tukio hilo, hakuna mtu aliyekufa wala kujeruhiwa
zaidi ya watu kukumbwa na taharuki.
kutoa maelezo hivyo
atanipoteza na sitaonekana tena uraiani.
"Nd u g u z a n g u
wa l i k u j a kunibembeleza nibadilishe maelezo na kuandika aliyotaka
mtuhumiwa, lakini nilikataa....baada ya kusoma habari za mtuhumiwa katika
gazeti lenu (Majira), Ofisa mmoja wa polisi ambaye alihusika kumkamata Bw.
Masubo, alinipigia simu na kunieleza usumbufu aliopata akitakiwa kumuachia
mtuhumiwa.
Aliongeza kuwa,
inawezekana mtuhumiwa amewatapeli watu wengi hivyo, Agosti 28, mwaka huu
atakwenda Kituo cha Polisi Kati ili aweze kufikisha malalamiko yake.
"Kwa sasa nipo
Tanga.. kwa shughuli zangu za kibiashara, narudi Dar es Salaam keshokutwa
(kesho), Jumatano nakwenda kutoa malalamiko yangu dhidi ya huyo jamaa Kituo cha
Polisi Kati," alidai.
Kamanda Kova
Kutokana na tuhuma hizo,
gazeti hili lilimtafuta Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,
Kamishna Suleiman Kova, kama kuna baadhi ya watu waliojitokeza kulalamikia
utapeli wowote waliofanyiwa na mtuhumiwa.
Katika majibu yake,
Kamishna Ko v a a l i s ema j e s h i h i l o litazungumzia sakata la ofisa
huyo leo saa saba mchana na kama kuna maswali yaulizwe katika mkutano huo.
"Wiki iliyopita
nilizungumzia suala hili, katika kituo kimoja cha redio, lakini kama kuna
maswali yoyote, mje kesho saa saba (leo) katika mkutano wangu na waandishi wa
habari, nitazungumzia sakata zima la huyo Ofisa Usalama feki," alisema.
No comments:
Post a Comment